2 Samuel 17:29

29 aasali na maziwa yaliyoganda, kondoo na jibini kutoka kwenye maziwa ya ng’ombe kwa ajili ya Daudi na watu wake ili wale. Kwa maana walisema, “Watu wameona njaa, tena wamechoka na wamepata kiu huko jangwani.”
Copyright information for SwhKC